Posts

Josho La Mifugo

Image
Kijiji cha Kinyangiri kilichopo wilayani Mkalama takribani kilimita 20 toka mji wa Iguguno kina idadi kubwa ya mifugo ikiwemo ng'ombe na mbuzi. Idadi kubwa ya mifugo hii inatokana na mazingira rafiki ya mifugo kama vile hali ya hewa, aina ya uoto unaopatikana pamoja na ukubwa wa ardhi ya malisho. Hivyo basi, mifugo ni moja ya shughuli za kitega uchumi na maendeleo kijijini hapo. Uwingi wa mifugo hii umepelekea kuwa na uimarisho katika afya na tiba ili kuboresha afya za mifugo. Hivyo basi, katika kijiji cha Kinyangiri kumejengwa josho kwa ajili ya mifugo hii. Josho ni sehemu maalumu ambapo wanyama huweza kaguliwa na kupewa tiba pamoja na chanjo. Picha hizi chini zinaonesha sehemu mbali mbali za josho ambapo ndipo mifugo hudumbukia kwenye maji yenye dawa na sumu ya vijidudu. Josho kwa kawaida ina sehemu kuu tatu. Kwanza, wanyama hukusanywa na kuingia katika mlango mkuu, hapa huwa ni kupana na kupo usawa wa ardhi. Baada ya sehemu ya kwanza, mifungo kisha huelekea sehemu ya pili ya jos...

A glance At Kinyangiri Village

Image
Kinyangiri village is such a beautiful place. The village is located very close to the East Africa Rift Valley right in the middle of Tanzania. It is surrounded by hills and valleys as well as rivers. Its landscape is amazingly attractive to see and I would say a good place to visit and take a hike tour around it. I will share with you some photos that I took of the surroundings. A baobab tree seen during  the sunset with the view of the Rift Valley at the background. I took the photo near Itigi Street on the western side of the village. The photo shows the region dryness as was taken during the dry season in July 2020.